1 Sam. 4:6 SUV

6 Nao Wafilisti waliposikia mshindo wa zile kelele, walisema, Maana yake nini mshindo wa kelele hizi kubwa katika kambi ya Waebrania? Wakatambua ya kuwa sanduku la BWANA limefika kambini.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 4

Mtazamo 1 Sam. 4:6 katika mazingira