1 Sam. 5:3 SUV

3 Na watu wa Ashdodi, walipoamka alfajiri siku ya pili, kumbe! Dagoni imeanguka chini kifudifudi, mbele ya sanduku la BWANA. Wakaitwaa Dagoni, wakaisimamisha mahali pake tena.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 5

Mtazamo 1 Sam. 5:3 katika mazingira