1 Sam. 5:8 SUV

8 Basi wakatuma watu waende kuwakusanya kwao mashehe wote wa Wafilisti, wakasema, Tulifanyieje sanduku la Mungu wa Israeli? Nao wakajibu, Sanduku la Mungu wa Israeli na lihamishwe liende Gathi. Wakalihamisha sanduku la Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 5

Mtazamo 1 Sam. 5:8 katika mazingira