1 Sam. 6:15 SUV

15 Nao Walawi walilishusha sanduku la BWANA, na lile kasha lililokuwa pamoja nalo, lenye vile vitu vya dhahabu; wakaviweka juu ya lile jiwe kubwa; nao watu wa Beth-shemeshi wakatoa sadaka za kuteketezwa, na kuchinja dhabihu siku iyo hiyo kwa BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 6

Mtazamo 1 Sam. 6:15 katika mazingira