7 Basi sasa jifanyizieni gari jipya, mtwae na ng’ombe wake wawili wakamwao, ambao hawajafungwa nira, nanyi mkawafunge hao ng’ombe garini, na kuwaondoa ndama zao na kuwatia zizini;
Kusoma sura kamili 1 Sam. 6
Mtazamo 1 Sam. 6:7 katika mazingira