1 Sam. 7:1 SUV

1 Na hao watu wa Kiriath-yearimu wakaja, wakalichukua sanduku la BWANA, wakalileta ndani ya nyumba ya Abinadabu huko kilimani, nao wakamtenga Eleazari, mwanawe, ili alilinde sanduku la BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 7

Mtazamo 1 Sam. 7:1 katika mazingira