12 Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Eben-ezeri, akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 7
Mtazamo 1 Sam. 7:12 katika mazingira