1 Sam. 8:11 SUV

11 Akasema, Mfalme atakayewamiliki ninyi atakuwa na desturi hii; atatwaa wana wenu na kuwaweka kwake, kwa magari yake, na kuwa wapanda farasi wake; nao watapiga mbio mbele ya magari yake.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 8

Mtazamo 1 Sam. 8:11 katika mazingira