1 Sam. 9:12 SUV

12 Nao wakawajibu, wakasema, Yuko; tazama, yuko huko mbele yako; fanyeni haraka sasa, maana hivi leo amekuja mjini; kwa sababu watu wana dhabihu leo katika mahali pa juu;

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:12 katika mazingira