1 Sam. 9:16 SUV

16 Kesho, wakati kama huu, nitakuletea mtu kutoka nchi ya Benyamini, nawe mtie mafuta ili awe mkuu juu ya watu wangu Israeli, naye atawaokoa watu wangu na mikono ya Wafilisti; maana nimewaangalia watu wangu, kwa sababu kilio chao kimenifikilia.

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:16 katika mazingira