1 Sam. 9:9 SUV

9 (Hapo zamani katika Israeli, mtu alipokwenda kuuliza neno kwa Mungu, husema hivi, Haya! Twende kwa mwonaji; maana mtu aitwaye sasa Nabii hapo zamani aliitwa Mwonaji.)

Kusoma sura kamili 1 Sam. 9

Mtazamo 1 Sam. 9:9 katika mazingira