2 Sam. 1:10 SUV

10 Basi, nikasimama karibu naye, nikamwua, kwa sababu nalijua hakika ya kuwa hawezi kupona baada ya kuanguka; kisha nikaitwaa ile taji iliyokuwa kichwani mwake, na kikuku kilichokuwa mkononi mwake, nami nimevileta hapa kwa bwana wangu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 1

Mtazamo 2 Sam. 1:10 katika mazingira