2 Sam. 1:12 SUV

12 wakaomboleza, wakalia, wakafunga hata jioni, kwa ajili ya Sauli, na kwa ajili ya Yonathani mwanawe, na kwa ajili ya watu wa BWANA na kwa ajili ya nyumba ya Israeli; kwa sababu wameanguka kwa upanga.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 1

Mtazamo 2 Sam. 1:12 katika mazingira