2 Sam. 1:21 SUV

21 Enyi milima ya Gilboa, visiwepo juu yenuUmande wala mvua, wala mashamba ya matoleo;Maana ndipo ilipotupwa kwa aibu ngao ya shujaa,Ngao yake Sauli, pasipo kutiwa mafuta.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 1

Mtazamo 2 Sam. 1:21 katika mazingira