2 Sam. 1:4 SUV

4 Daudi akamwambia, Yalikwendaje? Tafadhali uniambie. Akajibu, Watu wamekimbia vitani, tena watu wengi wameanguka wamekufa; hata Sauli naye na Yonathani, mwanawe, wamekufa.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 1

Mtazamo 2 Sam. 1:4 katika mazingira