2 Sam. 1:6 SUV

6 Yule kijana aliyempa habari akasema, Nalikuwapo kwa nasibu juu ya kilima cha Gilboa, na tazama, Sauli alikuwa ameegemea fumo lake; na tazama, magari na wapanda farasi wanamfuatia kwa kasi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 1

Mtazamo 2 Sam. 1:6 katika mazingira