2 Sam. 10:14 SUV

14 Na wana wa Amoni walipoona ya kwamba Washami wamekimbia, wakakimbia nao mbele ya Abishai, wakaingia mjini. Ndipo Yoabu akarudi kutoka kwa wana wa Amoni, akaja Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 10

Mtazamo 2 Sam. 10:14 katika mazingira