2 Sam. 10:6 SUV

6 Na wana wa Amoni walipoona ya kuwa wamekuwa machukizo kwa Daudi, wana wa Amoni wakatuma na kuwaajiri Washami wa Bethrehobu, na Washami wa Soba, askari ishirini elfu, na mfalme wa Maaka mwenye watu elfu, na watu wa Tobu watu kumi na mbili elfu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 10

Mtazamo 2 Sam. 10:6 katika mazingira