2 Sam. 11:13 SUV

13 Naye Daudi akamwalika, akala, akanywa mbele yake; naye akamlevya; hata wakati wa jioni akatoka kwenda kulala kitandani mwake pamoja na watumishi wa bwana wake, lakini hakushuka nyumbani kwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 11

Mtazamo 2 Sam. 11:13 katika mazingira