2 Sam. 11:25 SUV

25 Basi Daudi akamwambia yule mjumbe, Basi, mwambie Yoabu maneno haya, Jambo hili lisiwe baya machoni pako, maana upanga hula huyu kama unavyomla huyu; zidi kutia nguvu vita vyako juu ya mji ukauangushe; nawe mtie moyo.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 11

Mtazamo 2 Sam. 11:25 katika mazingira