2 Sam. 11:27 SUV

27 Hata maombolezo hayo yalipokwisha, Daudi akatuma mtu, akamtwaa, akamtia nyumbani mwake; naye akawa mkewe, akamzalia mwana.Lakini jambo lile alilolitenda Daudi likamchukiza BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 11

Mtazamo 2 Sam. 11:27 katika mazingira