2 Sam. 11:4 SUV

4 Basi Daudi akapeleka wajumbe, akamtwaa; naye akaingia kwake; naye akalala naye; (maana yule mwanamke amekwisha kutakasika unajisi wake); kisha akarudi nyumbani kwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 11

Mtazamo 2 Sam. 11:4 katika mazingira