2 Sam. 11:8 SUV

8 Daudi akamwambia Uria, Haya, shuka nyumbani kwako, ukanawe miguu yako. Basi Uria akatoka katika nyumba ya mfalme, na tunu ya vyakula ikamfuata, iliyotoka kwa mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 11

Mtazamo 2 Sam. 11:8 katika mazingira