2 Sam. 12:11 SUV

11 BWANA asema hivi, Angalia, nitakuondokeshea uovu katika nyumba yako, nami nitawatwaa wake zako mbele ya macho yako, na kumpa jirani yako, naye atalala na wake zako mbele ya jua hili.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:11 katika mazingira