2 Sam. 12:13 SUV

13 Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:13 katika mazingira