2 Sam. 12:24 SUV

24 Naye Daudi akamfariji Bath-sheba mkewe, akaingia kwake, akalala naye; naye akazaa mwana, akamwita jina lake Sulemani. Naye BWANA akampenda;

Kusoma sura kamili 2 Sam. 12

Mtazamo 2 Sam. 12:24 katika mazingira