2 Sam. 13:10 SUV

10 Amnoni akamwambia Tamari, Kilete chakula chumbani, nipate kula mkononi mwako. Basi Tamari akaitwaa mikate aliyoifanyiza, akamletea Amnoni nduguye mle chumbani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:10 katika mazingira