2 Sam. 13:15 SUV

15 Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:15 katika mazingira