2 Sam. 13:31 SUV

31 Ndipo mfalme akainuka, akararua nguo zake, akalala chini; nao watumishi wake wote wakasimama karibu naye, wenye nguo zao zimeraruliwa.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:31 katika mazingira