2 Sam. 13:34 SUV

34 Lakini Absalomu akakimbia. Na kijana yule aliyekuwa mlinzi akainua macho yake, akaona, na tazama, kuna watu wengi wanakuja kwa njia ya upande wa kilima nyuma yake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 13

Mtazamo 2 Sam. 13:34 katika mazingira