2 Sam. 14:11 SUV

11 Ndipo akajibu, Nakusihi, mfalme na amkumbuke BWANA, Mungu wako, ili mlipiza kisasi cha damu asizidi kuharibu, wasije kumharibu mwanangu. Naye akasema, Aishivyo BWANA, hautaanguka chini hata unywele mmoja wa mwanao.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:11 katika mazingira