2 Sam. 14:20 SUV

20 mtumwa wako Yoabu ameyatenda haya ili kubadili uso wa jambo hili; na bwana wangu anayo akili, kama akili ya malaika wa Mungu, hata ajue mambo yote ya duniani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:20 katika mazingira