2 Sam. 14:33 SUV

33 Basi Yoabu akamwendea mfalme, akamwambia hayo, naye alipomwita Absalomu, yeye akaja kwa mfalme, akainama kifulifuli hata nchi mbele ya mfalme; naye mfalme akambusu Absalomu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:33 katika mazingira