2 Sam. 14:6 SUV

6 Nami mjakazi wako nalikuwa na wana wawili, na hao wawili wakashindana uwandani, wala hapakuwa na mtu wa kuwaamua, lakini mmoja akampiga mwenzake, akamwua.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:6 katika mazingira