2 Sam. 14:9 SUV

9 Ndipo huyo mwanamke wa Tekoa akamwambia mfalme, Na uwe juu yangu, Ee bwana wangu mfalme, na juu ya nyumba ya baba yangu uovu huu; wala kwa mfalme na kwa kiti chake cha enzi pasiwepo hatia.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 14

Mtazamo 2 Sam. 14:9 katika mazingira