16 Basi mfalme akatoka na watu wa nyumbani mwake wote wakafuatana naye. Mfalme akaacha wanawake kumi, masuria, ili kuitunza nyumba.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 15
Mtazamo 2 Sam. 15:16 katika mazingira