27 Kisha mfalme akamwambia Sadoki, kuhani, Angalia, rudini mjini kwa amani, na wana wenu wawili pamoja nanyi, Ahimaasi, mwana wako, na Yonathani, mwana wa Abiathari.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 15
Mtazamo 2 Sam. 15:27 katika mazingira