2 Sam. 15:34 SUV

34 lakini ukirudi mjini, na kumwambia Absalomu, Nitakuwa mtumishi wako, Ee mfalme; kama vile nilivyokuwa mtumishi wa baba yako tokea zamani, ndivyo nitakavyokuwa mtumishi wako sasa; ndipo utayavunja mashauri ya Ahithofeli kwa ajili yangu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:34 katika mazingira