2 Sam. 15:36 SUV

36 Angalia, wanao huko pamoja nao wana wao wawili, Ahimaasi, mwana wa Sadoki, na Yonathani, mwana wa Abiathari; nanyi kwa mikono yao mtanipelekea habari ya kila neno mtakalolisikia.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:36 katika mazingira