2 Sam. 15:4 SUV

4 Tena Absalomu husema, Laiti mimi ningewekwa kuwa mwamuzi katika nchi hii, ili kila mtu mwenye neno au daawa aje kwangu, nimpatie haki yake!

Kusoma sura kamili 2 Sam. 15

Mtazamo 2 Sam. 15:4 katika mazingira