2 Sam. 16:1 SUV

1 Naye Daudi alipokipita punde hicho kilele cha mlima, tazama, Siba, mtumwa wa Mefiboshethi, akamkuta, na punda wawili waliotandikwa, na juu yao mikate mia mbili ya ngano, na vishada mia vya zabibu kavu, na matunda mia ya wakati wa hari, na kiriba cha divai.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 16

Mtazamo 2 Sam. 16:1 katika mazingira