2 Sam. 16:11 SUV

11 Daudi akamwambia Abishai, na watumishi wake wote, Angalieni, huyu mwanangu, aliyetoka viunoni mwangu, anautafuta uhai wangu; si zaidi Mbenyamini huyu sasa? Mwacheni alaani, kwa sababu BWANA ndiye aliyemwagiza.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 16

Mtazamo 2 Sam. 16:11 katika mazingira