2 Sam. 16:14 SUV

14 Naye mfalme na watu wake wote waliokuwa pamoja naye wakafika, wamechoka sana; naye akajiburudisha huko.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 16

Mtazamo 2 Sam. 16:14 katika mazingira