2 Sam. 17:25 SUV

25 Naye Absalomu akamweka Amasa awe juu ya jeshi mahali pa Yoabu. Basi huyo Amasa alikuwa mwana wa mtu, jina lake Yetheri, Mwishmaeli, aliyeingia kwa Abigali, binti Nahashi, nduguye Seruya, mamaye Yoabu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 17

Mtazamo 2 Sam. 17:25 katika mazingira