17 Nao wakamtwaa Absalomu wakamtupa katika shimo kubwa mle msituni, wakaweka juu yake chungu kubwa sana la mawe; kisha Israeli wote wakakimbia kila mtu hemani mwake.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 18
Mtazamo 2 Sam. 18:17 katika mazingira