2 Sam. 19:2 SUV

2 Na kushinda kwao vitani siku ile kukageuzwa kuwa maombolezo kwa watu wote; maana watu walisikia siku ile ya kwamba, Mfalme anahuzunika kwa ajili ya mwanawe.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:2 katika mazingira