2 Sam. 19:22 SUV

22 Lakini Daudi akasema, Mimi nina nini nanyi, enyi wana wa Seruya, hata mmekuwa adui zangu leo? Je! Atauawa mtu ye yote leo katika Israeli? Kwa maana sijui mimi leo ya kwamba ndimi mfalme juu ya Israeli?

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:22 katika mazingira