2 Sam. 19:24 SUV

24 Kisha Mefiboshethi, mwana wa Sauli, akashuka ili amlaki mfalme; alikuwa hakukata kucha za miguu yake wala kukata ndevu zake, wala kufua nguo zake, tangu siku alipoondoka mfalme, hata siku hiyo aliporudi kwake kwa amani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:24 katika mazingira