2 Sam. 19:26 SUV

26 Naye akajibu, Bwana wangu, Ee mfalme, mtumwa wangu alinidanganya; kwa kuwa mimi mtumwa wako nilisema, Nitajitandikia punda, nipate kumpanda, na kwenda pamoja na mfalme; kwa sababu mimi mtumwa wako ni kiwete.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:26 katika mazingira