2 Sam. 19:28 SUV

28 Kwa kuwa jamaa yote ya baba yangu walikuwa kama watu wa kufa tu mbele ya bwana wangu mfalme; ila uliniweka mimi mtumwa wako kati ya hao walao mezani pako. Basi ni haki gani sasa niliyo nayo, hata nimlilie mfalme zaidi?

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:28 katika mazingira